Friday, August 30, 2013

AIRTEL YATOSHA ; NYUMBA YA PILI ZIMEBAKI SIKU 5 TU!!!



  1. MENEJA UHUSIANO WA AIRTEL BW, JACKSON MMBANDO amesema “Siku ya
    Alhamisi tarehe 5 mwezi wa 9 ndio siku inayosubiriwa kwa hamu; ambapo
    tutapata mshindi wa nyumba ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha”
Wewe mteja wa Airtel Yatosha bado una nafasi ya kuibuka mshindi! Ni
rahisi. Piga *149*99# sasa na ujiunge na kifurushi chochote cha SIKU,
WIKI AU MWEZI cha Airtel Yatosha na moja kwa moja utaingia kwenye droo
ya kushinda. Kumbuka, pia kuna Tsh milioni 1 kushindaniwa kila siku.
Usilaze damu! Jiunge zaidid na Airtel Yatosha, uongeze nafasi zako
zakushinda! Alidokeza bw, Mmbando

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU