| Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese mwishoni mwa wiki iliyopita |
| Bondia Iddy Mnyeke kushoto akimshambulia Mwalimu Alon wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita MNyeke alishinda kwa pointi |
| Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambanbo wao wa upingwa wa Taifa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita |
| Lucas Mkenya akivalishwa mkana baada ya kumdunda mwenzi |
| Bondia Sadick Momba kushoto akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi |
| Bondia Sadick Momba kulia akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi |





0 maoni:
Post a Comment