Ofisa Masoko
na Uhusiano wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Bw. Rajab Mwenda akizungumza na
waandishi wa habari jana kutoa takwimu za makusanyo ya damu kwa mwezi Aprili
mpaka Juni mwaka huu ambapo ulivuka malengo kwa asilimia 111 kutoka chupa 36,278 mpaka 38,948. Kulia
ni Ofisa Msaidizi wa Masoko na Uhusiano Bi. Rayah Hamad |
0 maoni:
Post a Comment