Msanii maarufu nchini, Lady Jay dee maarufu kama Komando akitumbuiza na
bendi yake ya machozi bendi katika hafla ya kumkaribisha aliyekuwa
mwakilishi wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy.Hafla
iliyofanyika maeneo ya nyumbani Lounge kwa udhamini mkubwa kabisa wa
Airtel na DSTV.
Msanii maarufu wa kundi la Machozi Band, Lady Jay dee aliyesimama
pembeni akimtambulisha kwa washibiki wake Aliyekuwa mshiriki wa Big
brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy
Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza
Kessy akisalimiana na mashabiki wake waliojitokeza katika halfa ya
kumkaribisha nyumbani iliyofanyika Nyumbani lounge
Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza
Kessy akiwa pamoja na Vanesa Mdee wakati wa hafla ya kumkaribisha
nyumbani iliyofanyika katika ukumbi wa nyumbani lounge na kudhaminiwa na
DSTV na Airt
0 maoni:
Post a Comment