Monday, August 19, 2013
GRANDMALT&VITAMALT NYUMBANI NI NYUMBANI
Meneja wa vinywaji vya GrandMalt na Vita malt toka
kampuni ya bia nchini TBL Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar Es Salaam juu ya uzinduzi wa kampeni kubwa ya vinywaji hivyo
kuwatembelea watumiaji majumbani mwao na kutoa elimu juu ya umuhimu wa kutumia
vinywaji vilivyo bora , Kampeni hiyo itajulikana kwa jina la Nyumbani ni
Nyumbani na itajumuisha mikoa kumi ya Tanzania Bara, Kulia Meneja mahusiano wa
TBL Doris Malulu.
Meneja mahusiano wa Tbl Doris Malulu akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya uzinduzi wa kampeni kubwa ya
vinywaji hivyo kuwatembelea watumiaji majumbani mwao na kutoa elimu juu ya
umuhimu wa kutumia vinywaji vilivyo bora , Kampeni hiyo itajulikana kwa jina la
Nyumbani ni Nyumbani na itajumuisha mikoa kumi ya Tanzania Bara,Kulia ni meneja
wa vinywaji hivyo
0 maoni:
Post a Comment