Friday, August 30, 2013
FREDY ANTHONY APATA MASTERS YA BIASHARA HUKO MALAYSIA
Fredy Anthony ambaye ni Head of Group
Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya
ukumbi wa Dewan Tun Canselor Mara baada kupata shahada yake ya pili
(Master of Business administration - Multimedia Marketing) katika
Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.
0 maoni:
Post a Comment