Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi
iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es
salaam jana ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuendeleza soka na ikiwa
ishara ya kutambua ushirikiano wa kihistoria kati ya Castle Lager na FC
Barcelona uliosainiwa hivi karibuni huko Camp Nou Hispania. Wanaotazama ni
Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini James Bokella (wa kwanza kulia) na Meneja
Masoko wa TBL Bi. Natalia Celani (wa pili kulia). Na kushoto ni Meneja wa
Castle Lager, Kabula Nshimo na Aggrey Marealle, Mkurugenzi wa Executive Solutions washauri wa mahusiano wa TBL.PICHA NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment