Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la
Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA)
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Nyaraka za Katiba ya Shirikisho
hilo, kutoka kwa Mwenyekiti wake, Khamis Mkanachi, wakati Uongozi huo
ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam, leo Agosti 13, 2013
kwa ajili ya mazungumzo. Katikati ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais
Mohamed Khamis.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la
Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA)
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa Shirikisho,
wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam,
leo Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi Katiba ya
Shirikisho hilo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la
Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA)
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
Shirikisho hilo baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Picha na OMR
0 maoni:
Post a Comment