| Bondia
Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa
mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata
15 Temeke mwisho |
| Wasimamizi wa mashindano hayo wakifatilia kwa makini kushoto niRemmy Ngabo na Majeshi Kibilabila |
| Bondia
Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano
ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoenderea katika ukumbi wa CCMKata 15
Temeke mwisho Mohamedi alishinda kwa point |
| Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo |
| mabondia wakiwa katika picha ya pamoja |
| Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja |
| Mabondia Mussa Kimweri |
| Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde |
Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi
Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi





0 maoni:
Post a Comment