MPAMBANO mwingine wa masumbwi
unatarajia kufanyika Muheza mkoa wa Tanga wakati wa siku kuu ya idi pili
kwa ajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa Muheza akizungumza kuhusu
mpambano huo mratibu wake ambaye ndiye mwandaaji wa mpambano huo Hatibu
Mwijuma amesema mpambano huo umeandaliwa maalumu kwa ajili ya kutoa
burudani wakati wa sikukuu ya Idi na mpambano utafanyika katika viwanja
vya jitegemee
Mpambano huo utakaowausisha mabondia kutoka Dar es salaam na wa Muheza, Mbena Rajabu wa Dar atakaeoneshana kazi na Jumanne Mohamedi mpambano wa raundi sita huku George Allan wa Muheza ataoneshana ubabe na Muhamed Meme wa Tanga
na mapambano mengine mengi ya kukata na shoka uku kukiwa na burudani ya muziki alitaja kiingilio kwa siku hiyo kwa kuwa tunaitaji kila mtu aje kushudia mchezo wa ngumi kwani ni nafasi ya pekee tuliyoipata kingilio kitakuwa ni 2000,kwa 1000,

ili watu waweze kuangalia ulinzi ni wa
uwakika mchezo uho utakaosimamiwa na Oganaizeshani ya ngumi za Kulipwa
nchini TPBO umereta faraja kwa wakazi wa muheza kwani wana kiu kubwa ya
kuangalia mchezo huo wa masumbwi unaopenda na watu wengi
0 maoni:
Post a Comment