Monday, August 26, 2013

TIGO WAKABIDHI BAJAJI KWA WASHINDI



1.      Mshindi wa promosheni ya Tigo 'Miliki Biashara Yako' Bw. Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akionyesha furaha ndani ya Bajaji aliyoshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi zawadi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, Morogoro.


Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akiangalia namba za usajili na leseni ya barabarani (road license) ya Bajaji yake mpya aliyoshinda mara baada yakukabidhiwa rasmi na Mtaalam wa Masoko Tigo Bw. Alex Msigara katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, mkoani humo

Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Bisahara Yako’ Bw. Elias Mbano kutoka Tabora akipozi mbele ya Bajaji yake mpya aliyokadihiwa na Tigo walipofika mkoani humo hivi karibuni

Wananchi wa Tabora mjini waliojitokeza kushuhudia mkazi mwenzao Bw. Elias Mbano akikabidhiwa Bajaji kutoka Tigo

Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ ibuka na Bajaji Bw. Julius Banikwija (kulia) mkazi wa Ndungu wilayani Same, Kilimanjaro akikabidhiwa ufunguo wa Bajaji na Meneja Kanda ya Kaskazini wa Tigo Bw. Joseph James hivi karibuni


1.      Wanakijiji wa Ndungu, wilayani Same wakishuhudia makabidhiano ya Bajaji baada ya mkazi mmoja wao Bw. Julius Banikwija (hayupo pichani) kuibuka mshindi katika droo za promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ iliyofanyika hivi karibuni.



1.      Wawakilishi wa Tigo wakicheza ngoma za Kipare katika hafla ya makabidhiano ya Bajaji iliyofanyika Ndungu, wilayani Same, Kilimanjaro hivi karibuni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU