Monday, August 26, 2013

WAREMBO 30 WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA SHINDANO LA TAIFA

 Warembo wa Redd's Miss Tz wakiwasili katika kambi ya Taifa ya warembi hao kwenye Hotel Ya Giraffe Ocean View jijini Dar Es Salaam ambapo warembo 30 wataanza kambi hiyo Leo,Katikati ni Mkurugenzi wa LINO Hashimu Lundenga na meneja wa Kinywahji cha Redd's Original Victoria Kimaro
                                      Warembo wakiingia hotelin leo hii

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na warembo wa shindano la Redd's Miss Tanzania waliowasili jijini Dar es salam leo na kuingia moja kwa moja kambiani kujiandaa na shindano la Taifa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU