Bondia Kalama Nyilawila akijifua kujimalisha kusubili mpambano wake yeyer na Thomasi Mashari baada ya kumdhiaki yeye pamoja na Bondia mada Maugo aliyepigwa hivi karibuni kwa kuwaita midori yake. |
Bondia Kalama Nyilawila akijifua kujimalisha kusubili mpambano wake yeyer na Thomasi Mashari baada ya kumdhiaki yeye pamoja na Bondia mada Maugo aliyepigwa hivi karibuni kwa kuwaita midori yake. |
Bondia
Kalama Nyilawila kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Shadrack Ignas wakati wa mazoezi yanayoendelea katika klabu yao iliyopo
sinza makaburini Dar es salaam Kalama anafanya mazoezi kwa ajili ya
kumtafuta bondia Thomasi Mashali baada ya kumdhiaki kwa kumuita yeye na
mwenzie Mada Maugo kuwa ni Midori yake ambapo maugo amepigwa na bondia
huyo hivi karibuni Picha na www.superdboxingcoach. |
0 maoni:
Post a Comment