Sunday, September 29, 2013

NBC YATENGA SIKU MAALUMU KUWASHUKURU WATEJA WAO

 Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Judith Motta (wa tatu kushoto) akipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi katika tawi hilo wakivaa vazi lenye muonekano wa kiafrika katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya  Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia  kujibiwa maswali yao.
 Meneja wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja, Judith Motta (kulia) akitoa maelezo ya huduma mbalimbali za kibenki katika tawi lake kwa ammoja wa wateja wa benki hiyo, ….. katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia  kujibiwa maswali yao.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja, Jacqueline, Shija kulia) akuhudumia baadhi ya wateja waliofika kupata huduma mbalimbali za kibenki katika tawi hilo  katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia  kujibiwa maswali yao.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU