Monday, October 7, 2013

AIRTEL YAADHIMISHA WIKI KWA MTEJA

 Wateja wa Aitel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya Airet Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
 Afisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki wa Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono kuonyesha mshikamano wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja.
 Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akiongea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
 Keki ya maadhimisho ya wiki ya wateja
  Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akiongea kabla ya kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo na Lulu Mashiba.
 Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.
 Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo.
 Ukataji Keki
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Mfanyakazi wa Airtel Tanzania Angestina.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU