Monday, October 7, 2013

KARAMA AMTAFUTA MASHALI

 hapa karama akiruka juu baada ya kutangazwa mshindi wa ubingwa wa dunia wbfed middle weight katika pambano lililofanyika ulaya.
 karama apoteza pambano kwa cheka
 Karama nyilawila akimtupia konde la kushoto cheka katika moja ya pambanolao
 Nyilawila2

Aliyekuwa bingwa wa dunia wbfed  middle weight bondia Karama Nyilawila amesema ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa manzese  Thomas mashali (ambae ni bingwa wa Afrika wbfed  middle weight) alieutwa hivi karibuni kwa kumshinda mada maugo ,
Mashali akizungumza na vyombo vya habari ameeleza  kuwa mashali ameupata ubingwa huo kibahati na haukubali uwezo wake na alishawahi kucheza na mashali alikuwa hayupo fiti alipigana akiwa na malaria na akatoka  nae sare katika maamuzi ya utata kwa kuwa alikuwa kwao,
Karama nyilawila ambae hivi karibuni atakuwa na pambano  dhidi ya Sado philemon  tarehe 20 ya mwezi huu wa kumi katika ukumbi wa ccm mwinjuma,pambano  liloandaliwa na Ibrahim kamwe wa bigright promotion aliendelea kusema pambano hili akifanikiwa kumpiga sado hataupoteza ufiti wake kwa ajili ya mapambano  yatakayofuata likiwemo la hasimu wake Thomas mashali.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU