Wednesday, October 30, 2013

MAANDALIZI YA UHURU MARATHON YAPAMBA MOTO

 atibu wa kamati ya maandalizi yam bio za Uhuru wa Tanzania (Uhuru Marathon ) Bwana Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya maandalizi yam bio hizo ambapo fomu za ushiriki zinatarajiwa kuanza kuuzwa rasmi kesho katika vituo 13 jijini Dar Es Salaam na jumanne kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma  ambapo spika Anna Makinda ataongoza wabunge kuchukua fomu za kuishiriki,kushoto ni mdau wa riadha bwana Mroki Mroki.
Waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari wakiwa katika harakati za kupata matukio ya picha kwenye mkutano huo jijini Dar Es Salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU