Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano na
maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo
kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiri wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Mwakilishi wa EWURA, wakati wa ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha DSM, Prof. Rwekaza Mukandara, wakati wa ufunguzi wa Kongamano
na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Makamu Mwenyekiti wa 'Ewura Consumer Consultive Council', Said Abeid, wakati wa ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili
ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki waliopata zawadi kwa
kufanikisha Kongamano hilo.
Sehemu ya washiri wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge walioshiriki
Kongamano hilo.
0 maoni:
Post a Comment