Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Mbunge wqa Ludewa Mhe
Deo Filikunmjombe, Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe George
simbachawene na Naibu Waziri wa Maji Dkt Bilinith Mahenge kabla ya
kuhutubia mkutano wa hadhara wilayani Ludewa mkoa wa Njombe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa mkoa wa Njombe wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake mkoani humo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe leo Oktoba 23, 2013.
0 maoni:
Post a Comment