Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma wakati walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo
mchana. Makamu amewasili mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Malagalasi katika Wilaya ya Uvinza kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa
wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo
mchana, kwa ajili ya
kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili na kumpongeza mmoja wa
wasanii hao wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kigoma leo mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv
Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza baada ya kukabidhiwa ripoti ya Mkoa wa Kigoma leo
mchana. Picha na OMR
0 maoni:
Post a Comment