Saturday, October 19, 2013

MISS ILALA 2013 ATEMBELEA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHAZILI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR

DSC02412
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Uhazili, Msimbazi centre jijini Dar es Salaam alipotembelea kituo hicho jana na kupata nafasi ya kubadilishana nao mawazo juu ya kupambana na kupunguza umaskini katika jamii zao katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the Eradication of Poverty).
DSC02422
DSC02416
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel akibadilishana mawazo na wanafunzi wa Chuo cha Uhazili, Msimbazi centre jijini baada ya Miss huyo kuamua kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the eradication of poverty) kama sehemu ya kazi za kujitolea kwa kufundisha jamii na hasa wasichana mambo ya ujasiriamali na stadi za maisha.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU