Sunday, October 27, 2013

RAIS KIKWETE MGENI RASMI JUBILEI YA MIAKA 100 YA PAROKIA YA LUGOBA

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=141fa7951d955ea0&attid=0.7&disp=inline&realattid=f_hnae74eh6&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1382893262381&sads=l1mo84kbVvlZ7Kkj5eCwaYOe7Xs 
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=141fa7951d955ea0&attid=0.6&disp=inline&realattid=f_hnae74dy5&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1382893246515&sads=l2QCwJQL2yyL4W-LL2PNcJ0jgF4
Rais Jakaya Kikwete  na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi,   wakiweka jiwe la msingi katika kiwanja kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=141fa7951d955ea0&attid=0.4&disp=inline&realattid=f_hnae6fwo3&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1382893182185&sads=qZIQ1MtWLjYoFtjKpgd_9xY_T8U 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banz na  viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=141fa7951d955ea0&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_hnae6fow0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1382893171752&sads=6X2F4vfPTZkUdJ0n39bMDLteGxY&sadssc=1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kamati ya walei ya Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 ya Parokia hiyo.
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=141fa7951d955ea0&attid=0.2&disp=inline&realattid=f_hnae6fun1&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1382893649836&sads=U-Ln9VuN6k-dXPK9vqa0asuYMN0 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto wa shule ya Jumapili katika  Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 Parokia hiyo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU