Sunday, October 20, 2013

TWARIBU MCHANJO AMGALAGAZA KELVIN MAJIBA

Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo .
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo.
Bondia Twaribu Mchanjo akishangilia ushindi baada ya kumdunda Kelvin Majiba kwa point.
Bondia Emanuel Philomon kushoto akimtwanga makonde bondia Gaspar Hinde wakati wa mpambano wao philomon alishinda kwa K,O ya raundi ya nne.
Bondia Abdul Zugo kushoto akipambana na Hassani Manula wakati wa mpambano wao uliofanyika Gongolamboto Dar es salaa mpambano huo walitoka nguvu sawa yani ni Droo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU