Saturday, October 19, 2013

ARSENAL, CHELSEA WAZIDI KUNG'ARA.

ARSENAL wameendelea kubaki kileleni mwa BPL, Ligi Kuu England, baada ya kuichapa Norwich City Bao 4-1 Uwanjani Emirates na Chelsea, waliokuwepo kwao Stamford Bridge, pia kuipiga Bao 4-1 Cardiff City na kukamata Nafasi ya Pili huku Mabingwa Manchester United wakibanwa kwa Sare ya Bao 1-1 na Southampton ambayo imewaacha wakiwa Nafasi ya 8.

RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 19 Oktoba
Newcastle United 2 Liverpool 2
[Saa za Bongo]
Arsenal 4 Norwich City 1
Chelsea 4 Cardiff City 1
Everton 2 Hull City 1
Manchester United 1 Southampton 1
Stoke City 0 West Bromwich Albion 0
Swansea City 4 Sunderland 0
[Saa za Bongo]
19:30 West Ham United v Manchester City

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU