Wednesday, November 6, 2013

Aliyekuwa mcheza shoo wa Extra Bongo, Mwantumu afariki Dunia

 Marehemu Mwantumu akicheza katika moja ya shoo za Extra Bongo enzi za uhai wake, Mwantumu alifariki jana katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salam chanzo cha kifo chake fuatilia mtandao huu tutakujulisha punde.
 Mwantumu enzi za uhai wake
 Marehemu Mwantumu
 Kwaheri Mwantumu
 Mwantumu wa kwanza (kushoto) akiwa katika pozi na wacheza shoo wenzake
 Marehemu, Mwantumu(wa kwanza kulia) aktika moja ya shoo za Extra Bongo na wenzake
 Dah mwantumu ndio kwaheri tena.......
Mwantumu (kulia) akicheza na wacheza shoo wenzake

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU