Wednesday, November 6, 2013

MFANYAKAZI WA TBC RAMADHANI GIZE AUWAWA NA MAJAMBAZI USIKU WALEO UBUNGO MAZIWA

Mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Nchini  TBC, RAMADHAN GIZE ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia leo katika eneo la UBUNGO Maziwa Jijini DSM.

Tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuvamia duka moja katika eneo hilo la UBUNGO MAZIWA kwa lengo la kupora, ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la MWARAMI RAJABU amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na watu hao wanaosaidiwa kuwa majambazi.


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU