Saturday, November 2, 2013

AZAM YAREJEA KILELENI

Azam Fc leo wakicheza kwao Azam Complex huko Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar esSalaam wameichap Ruvu Shooting Bao 3-0 na kukamata uongozi wa Ligi Kuu Vodacom.

Huko Mbeya, Wenyeji Mbeya City wameifunga Ashanti Bao 1-0 na kupanda hadi Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 26 sawa na Vinara Azam FC lakini wamezidiwa kwa ubora wa Magoli.

Bao za Azam FC, waliokuwa mbele kwa Bao 2-0 hadi Haftaimu, zilifungwa na Kipre Tchetche, Joseph Kimwaga na Khamis Mcha ‘Vialli’.
RATIBA:

Jumapili Novemba 3 

Tanzania Prisons vs Oljoro JKT
Jumatano Novemba 6 

JKT Ruvu vs Coastal Union

Ashanti United vs Simba

Kagera Sugar vs Mgambo Shooting

Rhino Rangers vs Tanzania Prisons

Ruvu Shooting vs Mtibwa Sugar

Alhamisi Novemba 7 

Azam vs Mbeya City
Yanga v JKT Oljoro
MSIMAMO-LIGI KUU VODACOM 
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
12
7
5
0
20
7
13
26
2
Mbeya City
12
7
5
0
17
8
9
26
3
Young Africans
12
7
4
1
28
11
17
25
4
Simba SC
12
5
6
1
22
11
11
21
5
Mtibwa Sugar
12
5
4
3
17
15
2
19
6
Kagera Sugar
12
4
5
3
13
10
3
17
7
Coastal Union
12
3
7
2
10
6
4
16
8
Ruvu Shootings
12
4
4
4
13
13
0
16
9
JKT Ruvu
12
4
0
8
9
16
-7
12
10
Rhino Rangers
12
2
4
6
9
16
-7
10
11
Ashanti United
12
2
4
6
10
20
-10
10
12
Tanzania Prisons
11
1
5
5
6
15
-9
8
13
JKT Oljoro
11
1
4
6
8
16
-8
7
14
Mgambo JKT
12
1
3
8
3
21
-18
6


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU