Monday, November 11, 2013

MABONDIA SAID MBWELWA AMSAMBALATISHA SHABANI KAONEKA NA KALAMA NYILAWILA AMKALISHA KAMINJA RAMADHANI RAUNDI YA KWANZA

Bondia Said Uwezo kushoto akipambana na Sindano Paul  wakati wa mchezo wao uliofanyika jumapili katika ukumbi wa Zulu paradaise pugu kulumba Dar es salaam uwezo alishinda kwa point mpambano huo .
Refarii Saidi Chaku katikati akimnyosha mkono juu bondia Said Uwezo baada ya kumshinda kwa point mpinzani wake.
Mabondia Kaminja Ramadhani kushoto na Kalama Nyilawila wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Kalama alishinda kwa K,o ya raundi ya kwanza.
Bondia Twalibu Mchanjo kushoto akipambana na Mohamed Kashinde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mchanjo alishinda kwa K,o ya raundi ya tatu katika mpambano uho uliokuwa wa kusisimua.
Bondia Shabani Kaoneka Kushoto akipambana na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya kumkalisha chini kwa konde kali na kushindwa kuendelea.
Bondia Shabani kaoneka akiwa chini oi uku akiesabiwa na refarii kulia ni mpinzani wake Said Mbelwa akimsubili kwa hamu hata hivyo mbambano huo ulisha hapo hapo na mbelwa kufanikiwa kushinda kwa k,o ya raundi ya kwanza picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU