Monday, November 4, 2013

RAIS KIKWETE AAGA MWILI WA JAJI HILARY MKATE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktioba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam

Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU