Meneja
wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto Group IT meneja wa Oil
Com, Abubakari Mwita,Mkurugenzi wa Oil Com Bw,Mohamed Said Nahdi, Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu.Ofisa
wa Selcom Tumaini Mgori wakipata maelezo jinsi mashine ya Selcom
inavyofanya kazi ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao wakiungana na
Oilcom na Vodacom kupitia huduma ya lipa bidhaa wakati wa uzinduzi
uliyofanyika Dar es salaam jana picha na Mpiga picha wetu |
0 maoni:
Post a Comment