Monday, December 2, 2013

BREAKING NEWSSSS:::MALORI YAGONGANA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI,MSAADA UNAHITAJIKA

 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
 Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjarooooo
Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadhaaa za ajali hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU