Monday, December 30, 2013

MIYEYUSHO NA MKEYA LEO KUTOANA JASHO


Bondia Joshua Amukulu kushoto kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu

Bondia Kalama Nyilawila kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola  baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu
Bondia Fransic Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake  Joshua Amukulu kutoka Kenya utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA MKENYA JOSHUA AMULU UTAKAOFANYIKA DESEMBA 31 KATIKA UKUMBI WA MSASANI KLABU

Bondia Ibrahimu Class 'king Class Mawe'  kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto  baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE AKIP[IMWA AFYA
 IDDY MNYEKE AKIPIMWA AFYA YAKE

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU