Monday, December 30, 2013

MSONDO NGOMA WAENDEREA KUITEKA TTC CHAN'GOMBE

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki walioudhulia onesho lao lililofanyika TTC Chang'ombe jumamosi kutoka kushoto ni Eddo Sanga,Othumani Kambi , Shabani Dede na Hasani Moshi 
Wapuliza ara wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande
Wapiga magita wa msondo ngoma wakifulumusha magita hayo wakati walipokuwa wakitoa burudani kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani na Mustafa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU