Mkaguzi Msaidizi wa Polisi ambaye ni Polisi Tarafa wa Muklati Elibariki
Kileo akitoa taarifa kwa Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)
Liberatus Sabas wakati wa makabidhiano ya kikosi kazi cha askari 15
watakaofanya kazi pamoja na wananchi wa Tarafa ya Muklati wilayani
Arumeru. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Liberatus Sabas akitoa elimu ya Polisi Jamii kwa viongozi,
vikundi vya ulinzi shirikishi na wananchi wa Tarafa za Muklati na
Enaboishu
wilayani Arumeru. Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
0 maoni:
Post a Comment