Mlezi wa tawi la Yanga la Green Stone lililoko Mwananyamala , Yusuf Mwandeni akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa tawi hilo, Michael Machellah wakati wa hafla fupi ya kukabidhi kadi kwa wanachama wapya iliyofanyika katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Dar es Salaam
Baadhi ya Wanachama wa Yanga,tawi la Green Stone la Mwananyamala wakiwa katika hafla fupi ya kukabidhi kadi kwa wanachama wapya iliyofanyika katika ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam

0 maoni:
Post a Comment