Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa,
wakati alipowasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter Oysterbay, leo
asubuhi kwa ajili ya kushiriki katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa
Ukumbi wa mikutano wa Kanisa hilo. ambapo zaidi ya Sh. milioni 65
zilipatikana kati ya Sh. milioni 600, zinazohitajika hadi ifikapo mwezi
Julai. Kati ya hizo Cash ni Sh. milioni 5 na zilizobakia zikiwa ni ahadi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na Rais Mtaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, wakishiriki
katika Misa maalum ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano
wa Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam

Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Ibada maalum
ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Kanisa la
Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mwadhama Cardinari Polycap Pengo, wakati wa
ibada maalum ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa
Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam
0 maoni:
Post a Comment