Monday, January 27, 2014

TUZO ZA NGUMI ZILIVYOFANA

Meneja Mpango wa Uchangiaij wa hiyari kutoka PSPF ,Mwanjaa Sembe kushoto akimpatia ya upiga picha bora wa mchezo wa masumbwi pamoja na uhamasishaji mchezo huo Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa utoaji wa Tuzo hizo kwa mabondia zilizofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es  salaam

Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za ridhaa  Gelvars Rogasian wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyiaka katika ukumbi wa PTS Sabasaba picha 

Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia akimkabidhi tuzo ya bondia bora wa mwaka 2013 kwa ngumi za kulipwa  Francsis Cheka wakati wa utoaji tuzo za PSPF BOXING AWARDS zilizofanyiaka katika ukumbi wa PTS Sabasaba picha

Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia

Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia akiwa na Fransic Cheka

Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia ajkiwa na Zuwena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa shilikisho la ngumi za ridhaaa nchini BFT

Tuzo iliyochukuliwa na Rajabu Mhamila Super d
Rais wa PST Emanuel Mlundwa kushoto akimpatia tuzo ya Bondia bora wa mwaka Bilali Ngonyani kwa niaba ya Ibrahimu Class King Class Mawe

Aga Peter akimpatia tuzo Franscis Cheka

Mdau wa masumbwi Aga Peter akimkabidhi tuzo Fadhili Majia kulia ni Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis

Promota wa masumbwi Mohamed Bawazir akimpatia tuzo ya uandishi bora wa mchezo wa masumbwi Mwali Ibrahimu katikati ni Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis

Rashidi Matumla akimpatia tuzo Fadhili Majia


Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kulia ajkiwa na Zuwena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa shilikisho la ngumi za ridhaaa nchini BFT wakipiga picha ya pamoja na hadija Khopa 

kocha wa timu ya Taifa Jonas Mwakipesile akimkabidhi tuzo Selemani Kidunda

Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis kushoto akimkabidhi tuzo kocha wa timu ya Taifa Jonas
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya PSPF TANZANIA BOXING AWARDS wakiwa katika picha ya pamoja na naibu waziri wakati wa utoaji wa tuzo hizo picha na 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU