Wednesday, January 15, 2014

JESHI LA POLISI MKOANI ARUSHA LIMEKAMATA MISOKOTO YA BANGI 5000

Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya Mkoa wa Arusha Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Aben Mgode akiwaonyesha waandishi wa habari misokoto 5000 pamoja na baadhi ya magunia 16 ya madawa ya kulevya aina ya bangi yaliyokamatwa kutokana na misako mbalimbali iliyofanyika mkoani hapa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU