Sunday, January 19, 2014

JUMA NKAMIA ATEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO

    NAIBU WAZIRI MPYA WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO JUMA NGAMIA.

Rais KIKWETE amemteua Juma Nkamia kuwa naibu waziri wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo na kuchukua nafasi ya Amos Makala ambaye amekuwa naibu waziri wa wizara ya maji.

Kabla ya kuwa mbunge wa kondoa kusini Nkamia alikuwa mtangazaji wa shirika la utangazaji Tbc lakini pia amefanyakazi Voice of Amerika MAREKANI

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU