Monday, January 20, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU