Monday, January 27, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MNADHIMU MKUU WA MAJESHI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU