Monday, January 27, 2014

WASHINDI WA MIMI BINGWA WAKWEA PIPA ENGLAND


Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwakabidhi tiketi za ndege baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel tayari kwa ajili ya safari yao ya kwenda kushuhudia mechi kati  ya Manchester United na Cardiff City itakayochezwa kesho kwenye uwanja wa Old Trafford.
 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwa pamoja na baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa muda mfupi  kabla ya kuanza safari yao ya kuelekea nchini Uingereza kushuhudia mechi kati ya Manchester United na Cardiff City itakayochezwa kesho kwenye uwanja wa Old Traffor


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU