Sunday, January 5, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA KMKM KIBWENI, ZANZIBAR

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014

 Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  alipowasili kwa a ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014
Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  alipowasili kwa a ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU