Saturday, January 11, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa  balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiangalia ngao aliyopewa zawadi baada ya ku[okea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih baada ya kupokea hati zake za utambulisho ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014. Aliyeketi kushoto ni mkalimani.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU