Tuesday, February 11, 2014

BIDHAA ZA TRESSA YAZINDULIWA

 Baadhi ya wanamitindo wakionyesha umahili wao wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana

 Msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Elias Barnabas akiimba huku akipiga gitaa wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa.Uziduzi ulifanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.

 Mkurugenzi wa Bendi ya Machozi, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’(kushoto) akiimba sambamba na waimbaji wake wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana
 Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana

Balozi wa bidhaa za TreSSa, Elgiver Godwin(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU