Tuesday, February 11, 2014

NYAMA CHOMA WAFANYA SEMINA

 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Mbeya na Rukwa, Cloud Chawene, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Semina ya Uchomaji Nyama Bora ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma.Semina hiyo ilifanyika Airport Pub Mkoani Mbeya jana
 Jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Nyama Choma akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Semina ya Uchomaji Nyama Bora ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma.Semina hiyo ilifanyika Airport Pub Mkoani Mbeya jana
 Baadhi ya washiriki wa Semina ya Uchomaji Nyama Mkoa wa Mbeya wakimsikiliza jaji Mkuu ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama choma. Semina hiyo ilifanyika Airport Pub Mkoani Mbeya jana

Picha ya pamoja ya wachoma nyama mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo ya kuchoma nyama yaliyofanyika Airport Pub mkoani Mbeya jana

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU