Saturday, February 22, 2014

KALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA WA KUCHEZA NA BINGWA KATI YA MASHALI AU KASEBA MEI MOSI

Bondia Kalama Nyilawila katikati akitia saini ya kucheza pambano siku ya mei mosi atacheza na Thomasi Mashali au Japhert Kaseba inategemea na mshindi wa mechi hiyo ya March 29 itakayofanyika PTA Sabasaba kulia ni Alli Mwazoa na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi'

Promota wa ngumi nchini Ali Mwazoa akipeana mkono na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi baada ya kumsainisha bondia Kalama Nyilawila katikati anaetarajia kuzipiga mei mosi  
Promota wa ngumi nchini Ali Mwazoa akipeana mkono na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi baada ya kumsainisha bondia Kalama Nyilawila katikati anaetarajia kuzipiga mei mosi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU