Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni
ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya
maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji
Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza
4:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano
huo katika Hoteli ya Malaika Beach Resort, kwa ajili ya kufungua
Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa,
lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo kutoka katika Mikoa sita ya Kanda
ya Ziwa, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa
akihutubia kufungua rasmi kongamano hilo leoBaadhi ya washiriki wa Kongamano hilo kutoka katika Mikoa sita ya Kanda ya Ziwa, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akihutubia kufungua rasmi kongamano hilo leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali
Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika
Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa,
lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Mwasnza, Eng. Evarist Ndikilo.
0 maoni:
Post a Comment