Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, pamoja na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
Friday, February 7, 2014
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MPYA WA OMAN NCHINI TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud
Ali Mohamed Al Ruqaishi, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Feb 7, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimina na Joe Ricketts Kiongozi wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity
Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Februari 7, 2014 kwa mazungumzo.
Kulia ni Martin Russell Kiongozi wa Taasisi hiyo nchini Tanzania. Ujumbe
huo una lengo la kusaidia Tanzania kuboresha mfumo wa utoaji elimu kwa matumizi
ya ‘Tablet’
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib BIlal, akizungumza na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity
Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Feb 7, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, pamoja na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, pamoja na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
0 maoni:
Post a Comment