Lori la kubeba taka likiwa eneo kituo cha gereji barabara ya mandela ,huku likiwa limebeba uchafu baada ya kuharibika na limekaa hapo siku mbili.
Huo unaonekana kwa juu ni uchafu uliooza na unatoa harufu kali kituoni hapo. eneo la kituo cha gereji mandela road
Uchafu uliobebwa na Lori hilo,lililoharibika eneo la kituo cha gereji mandela road
Abiria
wanaotumia kituo cha gereji barabara ya mandela kwa siku mbili
mfululizo wamekuwa wakipata kero ya harufu kali inayosababishwa na gari
ya kubebea taka iliyopaki kwenye kituo hiko.
0 maoni:
Post a Comment